AUDIO: Tundu Lissu aeleza ni Kwanini anakamatwa ovyo na Vyombo vya Dola

Rais wa TLS ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amezungumzia suala la yeye kukamatwa Mara kwa mara na kufikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano, kulala mahabusu pamoja na kufikishwa Mahakamani

"Katika nchi wapo wanaotakiwa kupata tabu kwa ajili ya mambo mbalimbali ya maendeleo, kwa sasa mimi nimejitolea muhanga kwa suala hilo" amesema Tundu Lissu

Unaweza kumsikiliza kwa dakika kadhaa alizozungumza kwa kubonyeza Play hapo chini:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com