AUDIO: TFF wathibitisha Serengeti Boys Kushushwa Kwenye Basi na TRA

Wakati Serengeti Boys wakielekea kwenda nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kupata naye chakula cha jioni kwa mwaliko wake, maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), walilikamata basi wanalotumia na kuwashusha njiani. 

Viongozi wa Serengeti Boys walilazimika kutafuta basi jingine kuitikia mwaliko wa Mama Samia

Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Alfred Lucas amezungumzia ishu hiyo, kutokana na taarifa hizo kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii..bonyeza play hapo chini umsikilize


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com