AUDIO: Mbunge aomba Bunge likubali Kila Mbunge akaonje Jela japo Miezi Minne

April 6, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, ambaye amesema "wakimaliza na sisi watakuja kwenu" HUKU akiomba angalau wabunge wote wakaonje maisha ya jela

Msikilize Vizuri hapo chini akieleza kwa kubonyeza play

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com