AUDIO: Hali ya Roma sio nzuri, Ana mikwaruzo Mwili Mzima

Wakili wa Msanii Roma Mkatoliki, usiku huu amezungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar Es Salaam na kuelezea hali ya msanii huyo

Wakili huyo Jebra Kambole amesema kuwa Roma yupo hospitali ya Mwananyamala kwa Matibabu zaidi na hali yake sio nzuri, kwa kuwa amemuona akiwa na mikwaruzo mingi mwilini mwake

Unaweza kumsikiliza kwa kubonyeza hapo chini:-

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com