Askofu Gwajima achukizwa na Halima Mdee Kumtukana Spika


Kuhusu Halima Mdee, Leo wakati akihubiri katika Ibada ya Ijumapili katika kanisa lake la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo Jijini Dar es Salaam, Mchungaji Gwajima amesema Alichokifanya kumtukana Spika wa Bunge "Fala" sio sawa, na hivyo hawawezi kukemea Wengine na wewe tukakuacha, najua uliudhika lakini sio namna ya bora kuonesha jambo.

"Nasema Halima Koma, ishia hapo hapo kaombe msamaha, naomba ukajieleze na usipoenda wiki ijayo nakupiga tena.

Unawezaje kumuita Mwakilishi wa Wananchi "Fala" Nasema Koma."

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com