VIDEO: Maamuzi Magumu ya Waziri Prof Muhongo Mkoani Ruvuma

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa Tatu kulia) akiwa  katika mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka uliopo kata ya Ruanda mkoani Ruvuma ambapo  aliambatana na watendaji mbalimbali kutoka viwanda vya simenti vinavyotumia makaa ya mawe, Chama cha Wamiliki wa Malori (TATOA), Wazalishaji wa Makaa ya Mawe, Watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na viongozi kutoka  Mkoa wa Ruvuma.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com