Rais Magufuli asaini sheria ya Habari 2016

Rais JOHN MAGUFULI, ametia Saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016, iliyopitishwa na Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Mkutano wake wa -5 Mjini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, imesema Rais MAGUFULI amesaini Sheria hiyo jana.
Rais MAGUFULI amewapongeza Wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwa Sheria hiyo, na amesema anaamini itasaidia kuboresha Sekta ya Habari kwa manufaa ya Wanataaluma na Taifa.


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com