Rais Magufuli amjulia hali Mkewe aliyelazwa Muhimbili

mama1
Katika picha mbalimbali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia  hali mkewe Mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Picha na IKULU
mama2 mama3 mama4

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com