Picha za Ndoa ya Nuh Mziwanda

November 10 2016 moja kati ya stori zinazotrend katika mitandao ya kijamii hususani instagram ni kuhusu msanii wa bongofleva anayefanya vizuri katika radio na tv station za bongo kwa hit single yake ya ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda.
s14
Katika baadhi ya instagram account za watu mbalimbali wamepost picha zikimuonesha Nuh Mziwanda na mpenzi wake kuwa wameamua kufunga ndoa, na kwa mujibu wa tovuti ya millardayo.com Mziwanda kathibitisha kufunga ndoa lakini amesema amemuacha mkewe kwao kesho ndio watafanya sherehe na kuondoka na mkewe.
s13

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com