Picha: Waziri Mkuu alivyoshiriki Kumzika Samuel Sitta

ura1
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
ura2
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com