Msiba Mwingine Tena


 ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Said Mohamed amefariki dunia leo  katika Hospitali ya Agha khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mzee Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa Kampuni ya  Azam na  mwenyekiti wa Azam Fc. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com