Mkuu wa Wilaya aamuru makada wa CHADEMA kukamatwa kwa kufanya Mkutano


Makada watatu wa CHADEMA akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA Liberatus Mwang'ombe jioni ya leo wamekamatwa na Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya. 

Sababu ya kukamatwa kwao ni tuhuma za kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali.

amekamatwa katika kata ya Igurusi na kusafirishwa mpaka Rujewa

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com