Kiama kwa aliyevujisha video Calisah akimla ‘denda’ Wema na kusababisha kifo cha bibi yake

Model Calisah ametangaza vita kwa aliyevujisha na kusambaza mtandaoni video inayomuonyesha akimla denda malkia wa filamu Wema Sepetu.
calisah
Mapema wiki hii model huyo alizungumza kupitia tovuti ya Bongo5 kuwa video hiyo iliyosambaa mitandaoni ilisababisha kifo cha bibi yake ambaye alipokea taarifa hizo kwa mshtuko.
Hata hivyo Calisah alisema hajui ni nani ambaye amevujisha video hiyo huku akidai alikuwa nayo yeye pamoja na Wema Sepetu.
Jumanne hii kupitia instagram, Calisah ameandika:
This thing will pass, Ila ww uliesababisha machoz kwny macho yang tangu Jana na Leo nisije nikakujua, utajua nina roho mbaya kiasi gani, Najua ntakujua2 within this two days, utajua kwnn nilisuswa na babaangu mzazi kwa miaka 5, no1 knws my story.


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com