Hatari: Mbunge apata ajali mbaya Morogoro, Angalia hapa


Mbunge wa Tarime Vijijini, Bw. John Heche amepata ajali maeneo ya Mikese akitoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo Bw. Heche amenusurika na yupo salama kufuatia ajali hiyo. Chanzo cha ajali hakijaweza kufahamika mara moja.

Pamoja na gari lake pia gari jingine nalo lilipinduka eneo hilo na haijajulikana mara moja magari hayo yaligongana au nini kilitokea kati yao

[​IMG][​IMG]ajali


JIUNGE NA eddy blog SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Eddy Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com