Hakimu aonya polisi kuhusu kesi ya Lema

KESI YA LEMA: Mbunge Godbless Lema afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, hakimu Rwezile aonya askari kutoingilia uhuru wa korti kwa kuzuia asipigwe picha.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com