Basi La best line lapata Ajali mbaya Chimala Mbeya

Ajali
mbaya ya Basi Kampuni ya Best line linalofanya safari za Mbeya Mwanza, limepata ajali asubuhi ya leo, Maeneo ya Chimala Mkoani mbeya baada ya kuacha njia na kupinduka.

Majeruhi ni wengi na wameripotiwa kuwa katika hali mbaya zaidi,
Hadi sasa hakuna taarifa ya kifo kwenye ajali hiyo.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com