AUDIO: Deodatus Balile azungumza Baada ya Muswada wa Habari Kupita

Siku chache baada ya bunge kupitisha muswada wa habari mwaka 2016, Makamu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile amenukuliwa na mtandao huu akifanya mahojiano na Idhaa ya kiswahili ya BBC na kuzungumza maoni yake baada ya muswada huo kupita

Sikiliza sauti yake hapo chini

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com