Angalia Video: Obama alivyokutana na Donald Trump Ikulu

Mshindi wa Urais Marekani Donald Trump ameingia Ikulu White House leo na kukutana na Rais Obama kwenye mazungumzo yao ya kwanza ana kwa ana toka Trump ashinde Urais ambapo awali kabla ya kukutana Obama alimpigia simu kumpongeza muda mfupi tu baada ya kushinda.
Akiwa White House, Trump amemuita Rais Obama ‘A very good man‘ baada ya kukutana nae IKULU White House kwa mara ya kwanza toka ashinde Urais, unaweza kuitazama hii video hapa chini uone wakiongea IKULU.

Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA) 
© Copyright EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog | Designed By www.peruzibongo.com